Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mheshimiwa Donald J. Wright, ametembelea WoteSawa- asasi inayoongozwa na Mrs. Angela Benedicto, kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na shirika. Aidha Balozi Wright aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Robert Gabriel pamoja na viongozi wengine mbalimbali. Angela Benedicto, ambaye ni Mkurugenzi wa WoteSawa ni mmoja